jinsi ya kuangalia matokeo
ya kidato cha pili 2024 / 2025
Necta Yatangaza Matokeo ya kidato cha Pili Hivi punde.
Unaweza ukapakua PDF ya Matokeo ya kidato cha pili kwa Mwaka 2024/2025 hapa,
Download sasa
FTNA Matokeo, Matokeo ya Necta Form Two, Matokeo ya kidato
cha pili Necta 2024/ 2025
Moja kati ya Mitihani inayosimamiwa na Baraza la Taifa la
Tanzania mi hii ya Form Two National Assessment (FTNA) Muhimu kwa Ajili ya
kuwapima wanafunzi wa kidato cha pili Kitaaluma na Hufanywa na wanafunzi wa
shule zote Tanzania.
Malengo katika Mitihani hii ni kuhakiki uelewa wa wanafunzi
katika kipindi chote cha masomo kwa miaka miwili ya Masomo
Ufaulu Mzuri wa Mwanafunzi unahusisha wastani mzuri kwenye
masomo yote ikijumuisha.
Mathematics
Biology
Geography
Physics
Civics
History
English Language
Islamic Language
Bible Knowlegde
French Language
Kiswahili
Book keeping
Commerce
Cooking
Chinese Language
Baraza la Mitihani la Taifa NECTA linaeleza kwa kiasi gani
na viwango gani ufaulu wa mwanafunzi ulivyo kwa kutoa Tafsiri ya alama na
Madaraja Ambayo Hutumika na Baraza Hilo Kupanga Matokeo haya ya kidato cha Pili
Hatua Fupi Jinsi Ya Kupata
Matokeo Ya Kidato Cha Pili
Hatua ya kwanza
Hakikisha kifaa chako kimeunganishwa ama kimewezeshwa
Kutumia Intaneti, Kisha Fuata Kiunga Kifuatacho www.necta.go.tz, Utapelekwa kwenye ukurasa wa Necta
Hatua ya Pili
Ukiwa katika Kurasa ya Nyumbani ya NECTA Angalia Sehemu
Iliyoandikwa “Matangazo” ambao unaonekana Upande wa Kulia wa ukurasa wa NECTA.
Sehemu hii ni sehem ya umuhimu inayotoa Matangazo yote Muhimu ikiwemo Matangazo
ya Mtaokeo kwa Vidato Vyote, Na hapo
Utaona
Matokeo Ya Upimaji Wa Kitaifa Wa Kidato Cha Pili (FTNA
Results) 2024” au itakuwa Imeandikwa
“ Matokeo Ya Form Two 2024” Bonyeza Kiunga Hicho ili kuweza
kuelekea Kwenye Ukurasa Rasmi wa Matokeo
Hatua ya Tatu Na ya Mwisho
Baada ya kufungua Ukurasa Huo, Orodha ya Shule Mbali Mbali
Tanzania Nzima Zitaonekana, Utakachotakiwa Kufanya ni Kuchagua Shule Yako
Husika na Matokeo ya wanafunzi wote kwa Shule nzima yataonekana. Sasa Unaweza
kukutumia Namba yako ya Mtihani kuangalia Matokeo yako
Kwa Hatua Hizi Fupi Ukizifuata kwa Umakini Unaweza Ukatazama
Matokeo yako kwa Urahisi, Hakikisha umetumia Tovuti Sahihi ya NECTA kupata
Matokeo Sahihi ya Matokeo yako
Matokeo Ya Form Two 2024 /
2025 Mikoa Yote
Unaweza kutazama Matokeo ya kidato cha Pili kwa Mikoa Yote
Kupitia Link ya Mikoa ambayo inakuwa imepangwa na Baraza la Mtihani ili kuweza
Kurahisisha Utazamaji wa Matokeo hayo
Matokeo hayo yanakuwa yamepangwa kishule husika Zinazopatikana
Kwenye Mkoa Husika, Unachotakiwa Kufanya ni Kuchagua Mkoa Ambapo Shule yako Inapatikana.
Utaratibu huu Unarahisisha Mchakato Mzima wa Utazamaji wa
Matokeo
Tazama Matokeo ya Form two
2024/2025 kwa Mikoa Yote Hapa chini
ARUSHA |
KATAVI |
SINGIDA |
MTWARA |
DAR ES SALAAM |
KIGOMA |
TANGA |
PWANI |
DODOMA |
MANYARA |
DODOMA |
SHINYANGA |
GEITA |
MOROGORO |
KAGERA |
SONGWE |
IRINGA |
NJOMBE |
KILIMANJARO |
|
KAGERA |
RUVUMA |
MARA |
|
Yafahamu Madaraja na Alama
Katika Matokeo ya NECTA kwa Kidato cha Pili
Matokeo Yote kwa
Vidato vyote yamewekwa katika Mfumo na Mpangilio wa Madaraja kama ilivyo kwa
Matokeo ya kidato cha Pili, Tanzania kwa sasa inatumia Mfumo wa point na
Madaraja yaani Divison, Mfumo huu unaeleza Jinsi Ufaulu wa wanafunzi ulivyo
Katika Tathmini Tofauti .
Tazama Hapa Chini Tafsiri na Alama za Madaraja Katika Matokeo
ya Kidato Cha Pili mwaka 2024/2025
GREDI/NGAZI |
ALAMA |
DARAJA |
POINT |
MAELEKEZO |
A |
75-100 |
I |
1-7 |
Excellent
( Bora sana) |
B |
65-74 |
II |
18-21 |
Very
Good ( vizuri sana ) |
C |
45-64 |
III |
22-25 |
Good
(vizuri) |
D |
30-44 |
IV |
26-33 |
Satisfactory
(Inaridhisha) |
F |
0-29 |
0 |
34-35 |
Feli
(Fail ) |
Matokeo ya Mitihani kwa kidato cha pili yanamchango mkubwa
kwenye kukuza elimu na Taaluma kiujumla kwa wanafunzi kwa sababau inawapa
nafasi kwa Walimu, wazazi na walezi kuweza kutambua mapungufu ya wanafunzi
Husika na kutoa Muongozo wapi au sehem gani Hasa ya kuweka Nguvu kuweza kuinua
Taaluma ya Wanafunzi.
0 Comments