Matokeo kidato cha nne 2024 tanzania
NECTA 2024 |
Haya hapa matokeo ya kidato cha nne yametangazwa leo 2024 download pdf ya majina ya matokeo ya kidato cha nne 2024 Tanzania Bara na Zanzibar
karibu kwenye page yetu uweze kupata kuona matokeo
ya kidato cha nne yametangazwa hivi punde
Historia Fupi ya Baraza la Mitihani Tanzania
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) lilianzishwa kwa
Sheria ya Bunge Na. 21 ya mwaka 1973 kwa lengo la kusimamia mitihani yote ya
kitaifa nchini Tanzania. Uanzishwaji wa NECTA ulifuatia uamuzi wa Tanzania Bara
kujitoa katika Baraza la Mitihani la Afrika Mashariki (EAEC) mwaka 1971 ili
kuendesha mitihani yake ya ndani.
Baraza la Mitihani Tanzani limetangaza matokeo ya wanafunzi waliohitimu
kidato cha nne jinsi ya kuangalia Tazama Hapa Chini
Jinsi ya kuangalia matokeo ya kidato cha nne
mtandaoni 2024/2025
Hizi ni njia rahisi za kuweza kutazama matokeo kwa
haraka, kama wewe ni mwanafunzi unaweza ukatumia Tovuti Zifuatazo
Tovuti rasmi ya kiserikali inayohusika na mitihani Tanzania NECTA
01. Nenda www.necta.go.tz
02. Au Unaweza fuata kiunga hichi hapa chini
https://www.necta.go.tz/results/view/csee
03. Bonyeza “Results” kwenye menyu kuu
04. Chagua aina ya mtihani (CSEE) na Mwaka wa Matokeo
Hatua ya mwisho Tafuta Jina la shule au namba ya Mtihani ili
uweze kutazama matokeo
Zingatia
Unaweeza kutazama matokeo kwa njia ya SMS kwa kupiga *152*00
# kasha chagua Elimu kisha Necta mwishoni chagua Matoke, weka
namba yako ya mtihani na mwaka uliohitimu, utakakiwa kulipia 100 kwa huduma hii
Matokeo kidato cha
nne 2024|2025 Pdf
Ni muhimu kwa wahitimu wa kidato cha nne ambao wamefaulu
vizuri na kupata nafasi ya kuendelea na masomo ya ngazi advance na Diploma
kuona matokeo yao na kuwa na Pdf kwa ajili ya kufahamu zaidi
Kupakua matokeo hayo unaweza kupitia Tovuti ya baraza za
Mitihani Tanzania au pakua Pdf File Hapa chini
Lengo kuu la
Mitihani ya Kitaifa ni Lipi
1.
Kupima Wanafunzi
kitaaluma
2.
Kukuza Elimu Kiujumla
3.
Kutoa vyeti kwa
wahitimu
Post zinazotafutwa
zaidi
Matokeo ya kidato cha nne 2024 Tanzania Download
Matokeo ya kidato cha nne 2024 Tanzania Date
Matokeo ya kidato cha nne 2024 Tanzania live
Necta Results 2024
Matokeo ya kidato cha nne 2024 Tanzania youtube
Matokeo ya kidato cha nne Haya Hapa
Matokeo ya kidato cha nne Pdf
Matokeo ya kidato cha nne Mkoa wa Dar es Salaam
Matokeo ya kidato cha nne
Necta
0 Comments